Oyaa jamani wajanja wote hii ndio chama yenu sio........Mi naitwa frank kutoka K'nyama na chama langu bongo ni East Zoo K'Nyama sio nalizimia kinoma yani na ndani ya UK nina chama Lingine ni Jipya ila shoka tena lina kampuni sio inaitwa BONGO-UK Entertainment ndani ya "WABONGO Familia" sasa njoo uone 24th june ndani ya Milton Keynes tunaangusha kitu Miss Tanzania UK 2005 ambapo kuna watu kibao na tunataka kujumuisha familia sio????
sasa join me tutengeneze FAMILIA YA WABONGO na habari kibao za bongo flava na za home mi nitakuwa na Update kwenye Bulletin Board then very soon tutakuwa ndano ya www.bongo-uk-entertainment.com very soon hapo ndio itakuwa balaa zaidi